"Hivi sasa dunia nzima inazungumzia mfumo wa
utandawazi. Hili ni jambo ambalo halikwepeki. Mengi
yanayozungumzwa kuhusu utandawazi yanasisitiza
uzuri wake, manufaa yake na kadhalika. Ni kweli
kuna macuri mengi katika mfumo wa utandawazi
lakini yale yaliyo na madhara yana ncha kali yenye
uwezo wa kusababisha makovu ya kudumu. Watetezi
wa utandawazi wanadai kwamba hakuna njia mbadala
ya maendeleo nje ya mfumo wa utandawazi." - Dr. Salim, December 10, 2004
SHUGHULI YA KUTUNZA TUZO YA ZEZE KWA WATENDAJI MAHIRI KATIKA SERTA YA UTAMADUNI