Skip to content
Speech

NEPAD na Mustakabali wa Umoja wa Afrika Maoni Binafsi

  • Share

"Kuchomoza na kushamiri kwa mkondo wa utandawazi, na kuongezeka kwa kasi ya mzunguko wa bidhaa na huduma na pia mabadiliko makubwa ya maendeleo ya Sayansi na teknolojia na hususan katika fani ya teknolojia ya mawasiliano na upashanaji habari vilileta matumaini mapya kwa Bara la Afrika. Hata hivyo maendeleo hayo katika mazingira ya Utandawazi yalizua hofu na vitisho vipya na athari mpya ambazo ni muhali kwa ustawi wa bara letu. Vyote vilihitaji nguvu za pamoja kuvikabili. Kunako mwisho wa karne ya 20 suala la ulazima wa mabadiliko lilikuwa haliepukiki." - Dr. Salim, December 17, 2002

NEPAD-NA-MUSTAKABALI-WA-UMOJA-WA-AFRIKA-MAONI-BINAFSI-YA-SALIM-AHMED-SALIM.pdf

NEPAD na Mustakabali wa Umoja wa Afrika Maoni Binafsi

NEPAD-NA-MUSTAKABALI-WA-UMOJA-WA-AFRIKA-MAONI-BINAFSI-YA-SALIM-AHMED-SALIM.pdf
7 MB
Go to external page: Download