Skip to content
Speech

Kauli Ya Dr. Salim Dhidi Ya Kashfa Na Shutuma Dhidi Yake

  • Share

"Jambo jingine linalosemwa ni lile la rangi yangu na "Urabu" wangu. Inashangaza kwamba katika karne hii ya 21 na tukizingatia msingi ya Chama chet cha Mapinduzi bado wapo watu ambao wangetaka kutumia rangi na ukabila kuwa ndio vigezo vya kupata uongozi. Hapa ningependa tujikumbushe mambo mawili  ya msingi: Kwanza, Chama chetu (CCM) daima kimesimania haki na kupinga ubaguzi wa aina yeyote ndani na nje ya nchi. Pili, Tanzania ni Taifa ambalo limejivunia rekodi yake ya kuwa mstari wa mbele kupinga ubaguzi wa rangi, ukabila, udini na uonevu wa aina yeyote ndani ya bara letu na duniani kwa jumla." - Dr. Salim, April 23, 2005

KAULI-YA-SAS-DHIDI-YA-KASHFA-NA-SHUTUMA-DHIDI-YAKE-23-APR-2005.pdf

KAULI YA SAS DHIDI YA KASHFA NA SHUTUMA DHIDI YAKE

KAULI-YA-SAS-DHIDI-YA-KASHFA-NA-SHUTUMA-DHIDI-YAKE-23-APR-2005.pdf
2 MB
Go to external page: Download