Skip to content
Speech

Hotuba la Kumbukumbu ya Miaka Kumi ya Kifo cha Mwalimu Nyerere

  • Share

"Watanzania hivi sasa wamesahau ama wanashindwa kutambua kuwa UTANZANIA ni zaidi ya katiba, sheria ama taratibu na kuwa ni hali kujitambua kuwa sisi ni nani, tunasimamia nini na zaidi ni mfumo kamili wa maisha unaofuata msingi ya uhuru, haki, udugu na amani dhidi ya ubinafsi, uonevu na ubaguzi wa aina yeyote ile uwe wa kipato, kinyadhifa, kikabila, kimaeneo, kidini kiitikadi, kirangi, kijinsia na kimaumbile." - Dr. Salim, November 11, 2009

Miaka-Kumi-ya-Kifo-cha-Mwalimu-Nyerere.pdf

Miaka Kumi ya Kifo cha Mwalimu Nyerere

Miaka-Kumi-ya-Kifo-cha-Mwalimu-Nyerere.pdf
2 MB
Go to external page: Download