Skip to content
Speech

Hotuba Kwenye Ufunguzi wa Kongamano la Maadhimisho ya Miaka 10 ya Mfumo wa Siasa ya Vyama Vingi Tanzania

  • Share

"Demokrasia hujumlisha na kurutubishwa na mila na desturi. Demokrasia halisi katika mtazamo huu ni ile inayofungua mianya mingi ya ushiriki wa umma katika harakati za kujiendeleza. Kwa hiyo demokrasia, katika tafsiri hii, haiwezi ikawa ni kitu cha kupatikana papo kwa papo." - Dr. Salim, July 2, 2002

UFUNGUZI-WA-KONGAMANO-LA-MAADHIMOSHO-YA-MIAKA-10-YA-MFUMO-WA-SIASA-YA-VYAMA-VINGI-TANZANIA.pdf

Hotuba Kwenye Ufunguzi wa Kongamano la Maadhimisho ya Miaka 10 ya Mfumo wa Siasa ya Vyama Vingi Tanzania

UFUNGUZI-WA-KONGAMANO-LA-MAADHIMOSHO-YA-MIAKA-10-YA-MFUMO-WA-SIASA-YA-VYAMA-VINGI-TANZANIA.pdf
4 MB
Go to external page: Download