Skip to content
Speech

Hotuba Kuhusu Umuhimu wa Katiba Katika Maisha Ya WaTanzania

  • Share

"Zoezi hili la katiba mpya limekuja wakati muafaka ambapo watanzania tunasheherekea kutimiza miaka hamsini ya uhuru wa Tanzania Bara na miaka michache ijayo tutakuwa tunasheherekea miaka hamsini ya Mapinduzi ya Zanzibar na kama nilivyosema hapo mwanzo na pia Muungano wetu ambao ndio umeunda taifa la Tanzania. Ni wajibu wetu kuhakikisha kuwa tunaitumia vizuri nafasi hii adhimu sio tu kutafakari jinsi gani tumeweza kupata mafanikio na kupambana na changamoto mbalimbali katika miaka hamsini ya sasa lakini vilevile kufikiria na kuchanganua ni aina gani ya Tanzania tunayotaka kuijenga katika miaka hamsini ijayo." - Dr. Salim, November 17 2011

MDAHALO-KUHUSU-UMUHIMU-WA-KATIBA-KATIKA-MAISHA-YA-WATANZANIA.pdf

MDAHALO KUHUSU UMUHIMU WA KATIBA KATIKA MAISHA YA WATANZANIA

MDAHALO-KUHUSU-UMUHIMU-WA-KATIBA-KATIKA-MAISHA-YA-WATANZANIA.pdf
1 MB
Go to external page: Download