Skip to content
Speech

Hotuba Katika Ufunguzi wa Kongamano La Umoja wa Vijana wa CCM La Kumkumbuka Mwalimu Nyerere

  • Share

"Vijana wetu hasa vijana wa Chama Cha Mapinduzi wana jukumu kubwa la kufuatilia na kujua historia ya Taifa letu. Vijana wanapaswa kutambua na kuthamini juhudi za wazee wetu ambao walijitolea kupigania uhuru wetu na kiljenga taifa letu lakini pia kujitolea kusaidia kupigania uhuru, heshima na utu wa waafrika kwa jumla.

Vilevile vijana wanapaswa kuelewa mbinu zilinazotumika na wapinga maendeleo hasusan zile za kuwagawa watu ama nchj katika misingi ya ukabila, udini, uasili, maeneo, kijinsia na kadhalika. Ni jukumu la vijana wa Umoja wa Vijana wa CCM kuwa mfano wa kuigwa katika kuishi maisha yanayoendana na misingi ya utaifa wetu." - Dr. Salim, October 14, 2010

UFUNGUZI-WA-KONGAMANO-LA-UMOJA-WA-VIJANA-WA-CCM-LA-KUMKUMBUKA-MWALIMU-NYERERE-TAREHE-14-0KTOBA-2010.pdf

UFUNGUZI WA KONGAMANO LA UMOJA WA VIJANA WA CCM LA KUMKUMBUKA MWALIMU NYERERE

UFUNGUZI-WA-KONGAMANO-LA-UMOJA-WA-VIJANA-WA-CCM-LA-KUMKUMBUKA-MWALIMU-NYERERE-TAREHE-14-0KTOBA-2010.pdf
4 MB
Go to external page: Download