Skip to content
News Clipping

Salim aendelea kuhimiza kilimo

  • Share

Waziri Mkuu, Ndugu Salim Ahmed Salim amewataka Watanzania wote wanaoishi kwenye mikoa iliyo na ardhi yenye rutuba na mvua za kutosha kutumia uwezo wao wote kuzalisha mazao ya chakula na biashara kwa wingi, ili kuondoa uhaba wa chakula nchini na kuliongezea taifa uwezo wa kupata fedha za kigeni.

1984-Prime-Minister-News-Clippings004.pdf

Salim aendelea kuhimiza kilimo (Uhuru Newspaper)

1984-Prime-Minister-News-Clippings004.pdf
1 MB
Go to external page: Download